"Ni goli zuri ambalo mimi mwenyewe limenisisimua" - Beki wa Mbao FC Amos Charles alipigia 'salute' goli la tikitaka la Ibrahim Ajibu. Beki huyu ndiye aliyeokoa mpira kimakosa kabla ya bao hilo kufungwa.

09Oct2018