Baada ya Bondia Anthony Joshua Raia wa Uingereza kumpiga Bondia wa Marekani mwenye asili ya Mexico Andy Ruiz katika rematch iliyochezwa Saudi Arabia, kwa point katika pambano la round 12 , sasa rasmi  AJ amerejesha mikanda yake ya WBO, IBF, WBA na IBO.
_
Unaambiwa Andy Ruiz Jr ameomba pambano la tatu na Joshua amesema haina shida muda wowote yupo tayari.
#MillardAyoSPORTS