Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetoa tamko kuhusiana na sauti bandia iliyoelezwa kuwa ya Rais Wallace Karia iliyosikika ikitangaza kumfungia Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, kujihusisha na masuala ya soka.