Jumapili hii klabu ya Yanga ilikutana na Mbao na kuibuka na ushindi wa magoli mawili. Lakini kitu ambacho ni gumzo kwa sasa ni goli ambalo amefungua Ibrahim Ajibu kutokana na mazingira ambayo alikuwa amekaa.