CHELSEA FC YAPUNGUZIWA ADHABU. SASA ITARUHUSIWA KUFANYA USAJILI DIRISHA LA JANUARI 2020

 Chelsea ilifungiwa kufanya usajili kwa madirisha 2 ya usajili baada ya kukutwa na hatia ya kuwasajili wachezaji vijana kinyume na utaratibu

Soma   https://jamii.app/ChelseaFcHuru