KUFA KIKWELI SI KUKOMA MAPIGO YA MOYO BALI NI ...
AFYA: UNAVIJUA VIASHIRIA VYA MTU ALIYEFARIKI?
- Kumekuwa na hoja kwamba baadhi ya watu hudhaniwa wamefariki kabla hata hawajafikwa na mauti hivyo yawezekana wapo wanaozikwa (kimakosa) wakiwa hai
- Wataalamu wanaeleza kuwa Ubongo ndio kiashiria kikubwa cha mtu kufariki na sio kusimama kwa mapigo ya moyo pekee yake
Jifunze zaidi kuwa kusoma > https://jamii.app/ViashiriaKifo
Post a Comment
0 Comments