JE, WAJUA KUWA WAZEE WANATUMIA 'EXOSKELETONS' ILI WACHELEWE KUSTAAFU?







JAPAN: WAZEE WATUMIA 'EXOSKELETONS' ILI WACHELEWE KUSTAAFU



- Wanavaa vifaa hivyo ili kuendana na mahitaji ya kazi na kukaa kwenye kazi kwa muda mrefu

- Vifaa hivyo vinawaongezea nguvu vikiwasaidia kukimbia haraka na kubeba vitu nzito

Zaidi, somaExoskeletonJapan

Post a Comment

0 Comments