MBINU ZA KUKUWEZESHA KUFANYA BIASHARA KWA MTAJI MDOGO
- Chagua wazo la biashara unalolipenda na kuliweza vyema.
- Anza na unachokijua pasipo kuhusisha mambo mengi mageni kwa kuwa huna pesa za kuyagharamia
- Waambie watu unachokifanya ili kupata wateja na kufahamika na usiogope kueleza kuwa unafanya biashara ya aina fulani
Post a Comment
0 Comments