MICHEZO: KLABU YA NAPOLI YAMTIMUA KOCHA CARLO ANCELOTTI


 Timu ya Napoli ya Italia imemfukuza kazi kocha wao Carlo Ancelotti ikiwa ni chini ya masaa matatu baada ya kuiongoza timu hiyo kuingia hatua ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya

Soma > AncelottiVsNapoli
#JFSports

Post a Comment

0 Comments