Tanzia: Mtangazaji Nguli wa Michezo, Ahmed Kongo Afariki Dunia


Alijizolea umaarufu kwa kutangaza matangazo ya moja kwa moja ya mpira wa miguu nchini.

Ahmed Jongo amefariki dunia leo. Alistaafu kazi ya utangazaji mwaka 2005

Alifanya kazi kwa muda mrefu Redio Tanzania kabla ya kubadilishwa jina na kuwa TBC

Picha kwa hisani ya Azam TV

Post a Comment

0 Comments