MICHEZO
ZAHERA ATUMA UJUMBE TFF
Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amelishukuru Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kufuatia kumpatia tuzo ya kocha bora wa mwezi na kuahidi kupambana zaidi.
Zahera amepatiwa tuzo ya kocha bora wa mwezi Septemba baada ya kufanikiwa kuingoza timu yake ya Yanga kushinda michezo miwili na sare mmoja.
Kocha huyo mzaliwa wa DR Congo mwenye uraia pia wa Ufaransa makocha Zubery Katwila wa Mtibwa Sugar na Bakari Shime wa JKT Tanzania
Zahera amezungumza na Championi Jumamosi na kusema: “Ni vizuri kupata tuzo hii, nitawapigia simu wakubwa wa TFF kuwaambia asante kwa jinsi walivyonichagua kocha bora mwezi huu.
“Waendelee kufanya kazi nzuri kwa roho safi kwa nguvu zote kwa kuwa kitu wanachokifanya ni kikubwa.
Post a Comment
0 Comments