Club ya Everton imemfuta kazi kocha wake Marco Silva ikiwa ni siku moja imepita toka club hiyo ifungwe 5-2 dhidi ya Liverpool katika uwanja wa Anfield, Everton kwa sasa wapo katika nafasi za hatari kushuka daraja baada ya kucheza game 15 za EPL #MillardAyoSPORTS
Post a Comment
0 Comments