kaseja kuachwa katika kikosi kilichoitwa dhidi michuano ya CECAFA uganda







Golikipa Juma Kaseja ni miongoni mwa Wachezaji walioachwa katika kikosi cha mwisho cha Wachezaji 22 wa Kilimanjaro Stars wanaosafiri kwenda Uganda katika michuano ya CECAFA Senior Challenge Cup 2019, Aishi Manula baada ya kuachwa katika mechi kadhaa sasa karejeshwa.
#MillardAyoSPORTS

Post a Comment

0 Comments