TAMBUA NAMNA YA KUPAMBANA NA MAADUI ZAKO
ZIFUATAZO NI MBINU ZA KUPAMBANA NA MAADUI.
Adui ni nani kulingana na kamusi ya kiswahili adui ni mpinzani wako au mshindani wako.
hali za maisha hutufanya tuwe na maadui.
hali hizi hutokea hasa mtu anapoanza kufanikiwa katika mambo yake na maadui zake huwa ni wale watu ambao hawapendi kufanikiwa kwa mhusika.
ijapokua kuna sababu nyingi zinazo sababisha uadui baina ya pande mbili tofauti.
uadui una faida zake na unahasara nyingi hivyo haina haja kudumisha uadui kwa kua matokeo yake ni maafa makubwa.
Unapokua katika hali ya uadui fanya mambo ya fuatayo:
jiimarishe katika nyanja inayokufanya uwe na uadui kwayo.
kiasi kwamba maadui zako washindwe kupambana na wewe katika eneo hilo.unachotakiwa kufanya ni kujiamini mwenyewe kuwa unaweza ,usiathirike na maneno ya adui zako pindi utakapo anza kujiimarisha kwani kusikiliza maneno yao yakukukatisha tamaa kutamfanya adui wako awe mshindi
Tabasamu hata ukiwa katika hali ngumu.
tabasamu linanguvu katika vita hii ya kupambana na adui yako kuwa na tabasamu wakati wote humpa tabu adui yako namna ya kutambua udhaifu wako.huu udhaifu (hasira) ni upenyo kwa adui kuisambaratisha ngome yako. hupaswi kujiweka katika hali ya unyonge hata kama upo katika unyonge.
itaendelea...
Post a Comment
0 Comments