je wajua bangi inaweza kukukosesha watoto?

Mmea wa bangi ambao kwa nchi nyingine duniani umehalalishwa kutumika kwa viwango vilivyopangwa kulingana na sheria zao, umeonekana kuwa sababu ya vijana walio kwenye umri wa kupata watoto kujikuta katika changamoto ya kukosa rutuba kwenye mbegu zao za kiume
:mwananchi

Post a Comment

0 Comments