Namba Moja alikuwa mjengoni kwake pale karibu na Feri Ijumaa mchana. Nakukumbusha tu, Rais wangu huwa namuita Namba Moja. Ndiye raia namba moja nchini. Ndiye mwenye uamuzi namba moja nchini. Analoamua ndio mwisho.
Je ni Calculator ipi aliyoivunja?Soma zaidi hapa uchokozi huu wa Edo: https://www.wbca.st/f3fJG0w
Post a Comment
0 Comments