Game ya kikapu ilochezwa leo imeisha huku Los Angels lakers wakitikisa kwa vikapu 121
dhidi ya UTAH JAZZ  ambao walipata vikapu 96 tu. ambayo ni uwiano wa vikapu 25.